HESLB wataongeza muda wa application kwa tuliochelewa?

young sood

Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
45
Reaction score
2
Jaman wana jf napenda kuulza kuba uwezkanao wowte wa bodi ya mkopo kwa wanafunzi kuongeza muda msaada tafadhar
 
Mimi pia napenda kuuliza, kwa wale ambao wametuma fomu bila kuzitoa vivuli wakitaka kupata ushaidi pindi wamekosa mkopo watatumia njia ipi?
 
Hii na mm nahitaji sana kujua hili maana wasipoongeza itakuwa majanga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…