Heslb yani awaeleweki kabisa!!!

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
1,033
Reaction score
900
Habarini za mchana hapa nilitaka tu niwaonyeshe hawa majamaa wanavyochanganya watu maana ukiangalia website yao wameandika kuwa watu ambao awajaweka guarantor's photo wanabidi watume tu kwa barua lakini nilivyo enda nimepewa maelezo tofauti nawahusika wakiniambia kua sasa mdhamini anabidi andike barua fupi yakukudhamini wewe,abandike picha,asign,na ipelekwe kwa wakili ndio,itumwe sasa mbona awakuandika ichi kitu kwenye website yao
 

Msalimie mbwa bora upite. fanya wanavyotaka mwanangu!
 
Dah! kweli sina ujanja,lakini wangeiweka wazi ili kila mmoja ajue
 
Wameshakuwa na wasi wasi na ninyi mlishasahau wadhamini kwahiyo mnaweza msirudishe mkopo hivyo wamewaongezea mashariti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…