Chantaburi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 749
- 194
Majina ya waliopata mkopo yamepelekwa kwenye vyuo mbalimbali ambavyo vimewahi kufungua. Chuo cha Uongozi wa Kodi(Institute of Tax Admin) yamebandikwa kwenye notisi bosi.
sorry hayo majina ni ya first year au contin student eg second year?
sorry hayo majina ni ya first year au contin student eg second year?
Hata hapo ITA wenyewe ndio wameyafata na kuyabandika. waliopata mkopo ni 26 tu kwa mwaka wa kwanza. Hali ni tete
Hata hapo ITA wenyewe ndio wameyafata na kuyabandika. waliopata mkopo ni 26 tu kwa mwaka wa kwanza. Hali ni tete
dah kweli ni tete hao 26 ni out of how many 1yr?
Kwa hao 26 kupata mkopo haishangazi sn chuo chenyewe kina bachelor degree mbili na wanafunzi wengi ni private.