Heslb

Dawa ni KUNJI mpaka kieleweke. Lakini tahadhari vijana, baadhi yenu itabidi watolewe kafara ndio muweze kufanikiwa.
 
Wizara imesema jibu la mwisho watatoa tar. 27, watakapokaa kikao tena, kwa maana kuna wale waliosoma ufundi NACTE,nao hawajapata mikopo. So wanaangalia jins ya kuwasaidia na hao.Ili mwisho wa siku watoe maamuzi ya mwisho concerning wanafunz wote At da same tym wamesema watawaomba vyuo vyote kusecure nafas za waliokosa mikopo till wizara watakapotoa tamko lao hyo tar. 27. Ni hayo! HAK YA MNYONGE HUWA HAIPOTEI BALI INACHELEWESHA. unapaswa kufika Wizaran tar.27 kuungana kupigania haki yetu. Mpe taarifa na mwenzako.
 
Msisubiri UD waanze sasa mana kuna vyuo vingine kugoma kwao ni dhambi,utawasikia Ud kila siku migomo,Kwa Tanzania hii bila mabomu hatufiki natumai UD tutalianzisha kusaidia watoto wa ma peasant TZ nzima,Ila first year msiende mkaanza kugoma bila mpango sapoti ya second year na third lazima iwepo,ukitaka urudi kwenu ghafla goma ki secondary secondary!!!
 
Kwanza kuna zle chenji za rada,kwa nin wasiwafadhili vjana..??
 

Hapa umedanganya mkuu, hakuna mtu wa DARUSO aliyefanya chochote na walikuja vijana wasiozidi ishirina nao hawakufanya kitu. Kuna jamaa mmoja kichwa sana akaandika makala moja kali katika gazeti la rai, alipata data kamili na wale walishachaguliwa under government sponsor lakini majina yao yakakatwa. Aliishambulia DARUSO kwani walitoka kumtetea IGP MAHITA aliposakamwa na bunge, akilichanachana Bunge, akatoa rai kwa watanzania waamke wawatetee watoto wao, akawaambia DARUSO waache unafiki. Muulize Rugemalila Julius alikuwa rais Kipindi hicho na Albeto Msando alikuwa spika. Maprofesa walisoma ile makala wakaikubali na kila mtu mwenye akili timamu aliikubali. Jamaa akawaomba wanafunzi waripoti shule kugoma kwani ile makala ilitoka siku kumi kabla ya kufungua chuo. Serikali ilitangaza kuwarejeshea uzamini wale wanafunzi 602 saa 12 asubuhi siku ya kufungua chuo. Ishu si viongozi wa kisiasa ishu ni kujenga hoja na kuwashirikisha wananchi kwa kuwaelewesha na kuwaoonesha uwezekano. Nakumbuka ile makala ilikuwa inakichwa CHuo KIKUU MUDA WA KUANDAMANA NI SASA. Kichwa kikiwasuta DARUSO waliotaka kuandamana kumtetea Mahita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…