K Kingsirjo New Member Joined Oct 20, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Oct 23, 2013 #1 Hivi kuna usanii gani unaendelea ndan ya bodi ya mikopo mbona vijana wengi hasa mwaka wa kwanza wameandiki ELIGIBLE to get loan lakin sababu za wao kukosa ni uongo!hv taif letu linakwenda wap!
Hivi kuna usanii gani unaendelea ndan ya bodi ya mikopo mbona vijana wengi hasa mwaka wa kwanza wameandiki ELIGIBLE to get loan lakin sababu za wao kukosa ni uongo!hv taif letu linakwenda wap!
B bonnyface New Member Joined Oct 16, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Oct 23, 2013 #2 Yaaani hawa jamaa(heslb) cjui wanafkria nn wanakwandia eligble for loan then wanatoa sababu zisizo eleweka....kuna m2 yoyote mwenye updates zozote?
Yaaani hawa jamaa(heslb) cjui wanafkria nn wanakwandia eligble for loan then wanatoa sababu zisizo eleweka....kuna m2 yoyote mwenye updates zozote?