Kibundi wa getto JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 455 Reaction score 877 Jun 23, 2014 #1 Jamani wanaJF mimi naomba kuuliza, nimelipia mpesa toka mchana lakini sijaletewa ID tatizo nini?
Blood Hurricane JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,175 Reaction score 303 Jun 23, 2014 #3 Ushaibiwa. Waulize heslb sio ss humu jf. Kuna anayefahamu id humu?
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Jun 23, 2014 #4 Kibundi wa getto said: Jaman wanajf me naomba kuuliza,nimelipia m pesa toka mchana lakini sijaletewa ID tatizo nini? Click to expand... wapigie voda kama hawajakurejesha sms ya malipo......itunze sms utatumia kujisajilia keshe jion ndo uakika itakuwa ishatumwa bodi kwenye data base
Kibundi wa getto said: Jaman wanajf me naomba kuuliza,nimelipia m pesa toka mchana lakini sijaletewa ID tatizo nini? Click to expand... wapigie voda kama hawajakurejesha sms ya malipo......itunze sms utatumia kujisajilia keshe jion ndo uakika itakuwa ishatumwa bodi kwenye data base