K Konzogwe JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 434 Reaction score 156 Oct 3, 2010 #1 Jamani eeh! Nani ana habari toka bodi ya mikopo kuwa lini wataweka mambo hadharani.Nafasi chuo tumepata,sasa tuna hamu kujua ni asilimia ngapi tumepata.
Jamani eeh! Nani ana habari toka bodi ya mikopo kuwa lini wataweka mambo hadharani.Nafasi chuo tumepata,sasa tuna hamu kujua ni asilimia ngapi tumepata.