KERO Hewa chafu eneo la Mchicha Vingunguti

KERO Hewa chafu eneo la Mchicha Vingunguti

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Iruru

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
1,471
Reaction score
2,891
NEMC na taasisi zingine za uthibiti, eneo la Mchicha Vingunguti kuna hewa kali sana ambayo ukipita lazima ushindwe kupumua na kupata kikohozi kikali. Watu wanasema sulphur inayotoka viwandani.

Je, mmeamua kutua kwa sulphur baada ya kimbunga Hidaya kutusamehe?
 
Vingunguti ndiyo kule wanasemaga wanakaa nyuma ya airport? Poleni
 
Sidhani kama dar kuna sehemu hainuki sema zinazidiana harufu.
 
Udhibiti wa Sulpher umekuwa dhaifu sana, wahanga wakubwa ni madereva wa Maloli makubwa yaendayo nje ya nchi, inaingizwa nchini ipo kwa container salama,kifika hapa Inakuwa reparked tena katika container zisizo imala, dereva atavuta hewa chafu kutoka Tanzania mpaka Zambia, nasikia madereva wengi wanapoteza maisha.
 
Back
Top Bottom