Mkuu unazungumzia dar gani wewe ?? 😂😂Sidhani kama dar kuna sehemu hainuki sema zinazidiana harufu.
Anazungumzia Dar ya Michael Jackson aliyekujaga toka USA kutoa shoo stejini afu akadai Dar yote inanuka, ila duniani kuna Mawatu yana dharau sana [emoji57][emoji848]Mkuu unazungumzia dar gani wewe ?? [emoji23][emoji23]
Kwa kweliAnazungumzia Dar ya Michael Jackson aliyekujaga toka USA kutoa shoo stejini afu akadai Dar yote inanuka, ila duniani kuna Mawatu yana dharau sana [emoji57][emoji848]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.