STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Halafu Demu akikuacha unalalamika, "Wanawake
wa Siku hizi hawaridhiki,nimempa kila kitu yule
Mwanamke lakini bado ameniacha"
Ukipewa Lips unahangaika kama Fundi Cherehani
demu akirudi home anafikia kumeza HEDEX midomo
yote inawaka moto, ukipewa 'kwato' si utaleta maafa??
Blaza lazima uachwe tu...Niliwahi kuambiwa A BAD
KISSER IS A BAD F%$/!$$+_×%=×.......Eti wadada ni
kweli???Mtu hajui kukiss ataweza kulegeza chaga
kabisa na kukufikisha Wingu la Masika??SIDHANI..