Any deodorant (roll-on) can assist,sina uhakika na stick deodorants kwani nilishawahi kuzitumia nikagundua nina sweat sana ingawa haikuwa kawaida yangu ku-sweat vile.CAUTION deodorants za kichina hazina mpango wowote ingawa sijafanya research nimeshatumia mbili nikagundua hazi fanyi kazi vizuri.