Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
jamani kwa wale..vijana enzi zilee za utoto kila jumapili tulikuwa tunapenda disco la club germ session lilokuwa likifanyika
club billcanas pale mlangoni mnakumbuka nini
1.mi nakumbuka kiingilio ilikuwa buku moja
2.mnamkumbuka baunsa alikuwa akiitwa terminator
3.kuna jamaa mmoja alikuwa anakujaga amevaaa micheni,miwani kila siku alikuwa lazima ajee
4.nakumbuka ukumbi ulivyokuwaa unajaa
5.mashindano ya ma camp kuimba na kusheki...
5.bia ilkuwa buku na jeloo....
daa..ni hayoo tuu kama kuna mengine tukumbushane