The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
Imewabidi madaktari kutumia nafasi ya kuwepo VVU ili jamaa wamenye
tuliopata raha ni sasi tuliomenywa tukiwa wachanga. mi najikumbukia ipo hivi hivi imemenywa na nilidhani ndiyo nilivyozaliwa nayo.
pole kwa wanaochezea kisu huku wanajiona
Kwanye taarifa ya habari saa 2 ITV nimeona na kumsikia Daktari mmoja akielezea mipango ya kuwatahiri jamaa mia kadhaa, huko Mbeya ili kupunguza uwezekano wa kutokea maambukizi mapya ya HIV (VVU). Sikuwa najua kama jamaa zangu wa Mbeya hawamenyi ndizi zao hata kama zimefikia wakati wa kuliwa. Imewabidi madaktari kutumia nafasi ya kuwepo VVU ili jamaa wamenye. Bahati mbaya sijajua ni kabila gani hawa jamaa zangu. Just surprised! What is your comment on this?
wataalam wa Bios wanasema ukimenya unapunguza raha ya mlaji bhana ndizi na maganda usipime mziki wake.