Wandugu, nimejitokeza kumtafuta mchumba (mke) humu JF ili tuyaenzi maisha na kutekeleza maandiko ya mwenyezi Mungu. wasifu wangu ni;-
NB: IDUMU JAMII FORUM KWA KUTUWEKEA JUKWAA HILI LA LOVE CONNECT
- mweusi,
- mrefu almost futi 6 na point kadhaa
- Nimeelimika and civilized too
- aged 29
- mixture ya kiganda na bongo( Nyankore na kibongo)
- Umri usiozidi 27
- awe na elimu kuanzia form 6+
- awe mrembo
NB: IDUMU JAMII FORUM KWA KUTUWEKEA JUKWAA HILI LA LOVE CONNECT