Mi nafikiri sio lazima...So hili ni suala la kuchagua au ni LAZIMA?
Akinipa na sababu za kwanini anafikiri ni lazima nibadili ntabadili..Mfano mumeo mtarajiwa anademand ubadil la sivyo hakuna ndoa,what nex?
Hii kitu inaonekana kama siyo lazima,ni kweli iko hivi?