Naona umewaaamuliaa duh ila wakija hapa ujiandae mna mashambulizi yao
Mkuu mwanamke ni kiumbe wa kubembelezwa
nafikiri ulivyomkuta amenuna wewe usingechukulia hasira ungerudi kujikumbusha enzi zile unamtongoza ulifanyaje
mlete karibu yako mpe maneno matamu, mkumbushe great moments u were together, kiss her tena kwa kutokea nyuma wakati may be hata anavaa au anapanga nguo sehemu, tell her how u love her and care about her na utaona matokeo
Akikasirika na wewe usikasirike shuka chini fanya kile ambacho ni nadra kufanywa wakati huo maana romantic moments nyingi huwa tunazisahau tukishakuwa kwenye ndoa

Umri wa kukasirika ulishapita siku hizi nimekuwa philosopher huwa naishia kushangaa na kutafakari mambo kadha wa kadha. Huo mkakati unaousema unafanya kazi sana kwenye hizi filamu wanazoangalia siku hizi lakini kwenye uwanja wa mapambano huwa hazi apply sana. Labda kwa nyakati fulani fulani tu. Kuna wakati akiwa amenuna sio busara kufanya hayo unayosema. Unaweza kujikuta unatongoza mke wako kila siku jioni unapotoka kazini.

Hahahahahaaa duuh ntakuwa nafanya hayo nikiwa mkubwa(nikioa), sidhani kama ndoa itakuwa na malumbano au kesi kwa mshenga kuwa wife hanipi kitu roho inapenda teh teh teh umesomeka Mkuu.

Mkuu mwanamke ni kiumbe wa kubembelezwa

nafikiri ulivyomkuta amenuna wewe usingechukulia hasira ungerudi kujikumbusha enzi zile unamtongoza ulifanyaje

mlete karibu yako mpe maneno matamu, mkumbushe great moments u were together, kiss her tena kwa kutokea nyuma wakati may be hata anavaa au anapanga nguo sehemu, tell her how u love her and care about her na utaona matokeo

Akikasirika na wewe usikasirike shuka chini fanya kile ambacho ni nadra kufanywa wakati huo maana romantic moments nyingi huwa tunazisahau tukishakuwa kwenye ndoa

hayo mambo ya kwenye tamthilia wengne ha2yawezi.

sawa sawa,.......
Tatizo lenu wanaume hamjitambui....sa nyingine hajanuna we unasema amenuna.km unataka ndo ubembeleze at!
Hata Igwe unasema hayo na unakubaliana na hayo
Tena haswaaaaa mkuu wangu,..
Unajua kuna vitu havitekelezeki kabisa kwenye maisha ya hali fulani_eti akasirike halafu mm nishuke hata kama najua sijamkosea,...kuna muda hawa wa ubavu wetu wananuna bila sababu ya msingi,..sasa hapo suala la kujishusha ndipo linapokua muhali kiongozi wangu.