Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kundi la magaidi la Hezbollah limetangaza kupoteza mawasiliano na aliyetarajiwa kuwa mkuu wake baada ya kifo cha Nasrallah anayefahamika kwa jina la Safi Al din na haieleweki hadi wakati huu alipo!
Hivi karibuni Marekani ilitoa taarifa kuwa, Israel ilimlenga huyo mkuu taraji usiku wa Alhamis iliyopita.
Hivi karibuni Marekani ilitoa taarifa kuwa, Israel ilimlenga huyo mkuu taraji usiku wa Alhamis iliyopita.