Mwamba kama hajauwawa basi atakuwa amesepa zake na kujichanganya mtaani kama mgalatia wa kilebanon, kanyoa ndevu, kapiga tisheti kali, jeans na chini katupia raba kali za balansiaga!
Kuliko awaishwe kupewa mabikira wa peponi (ambao hata yeye huenda anaamini hawapo bali zilikuwa ni fix za Mudy) mwamba akaona mapema kabisa abakie hapa hapa duniani ilo aendelee kutafuna pisi kali na laini za kilebanon.