Hezbollah wanapata wapi zana nzuri mpaka wanachukua maeneo kirahisi hivi

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Wapiganaji wa Hezbollah wameonesha uwezo mkubwa kwenye uwanja wa vita. KiryatShmona imekwenda na maji

Hezbollah takes the town of Kiryat Shmona in ISRAEL

This is the first time in its history that Israel has lost an enclave in its territory

The IDF has retreated after losing its main base

Channel 13 and Al-Jazeera have confirmed it

 
Chai
 
Za chini hapo Taifa Teule wamepewa info kwamba yule jamaa wa syria pale karuhusu kusambazwa kwa silaha...Halafu upande huu israel walijua wamemaliza wote na hawana deni ..Wanakuja kugundua jamaa wako full mtiti.

Kiufupi ,yule jamaa wa syria kauza ramani ; ataliwa kichwa muda sio mrefu.
 
Rais wa syria sidhani km anaweza kuwazunguka israel maana hapo wamemuweka wao
 
Rais wa syria sidhani km anaweza kuwazunguka israel maana hapo wamemuweka wao
Huyo jamaa bado kuna waasi nchini mwake ,siku moja utakuja kunielewa...Israel wako deep kwenye intelijensia wameshajua kwa sababu hao jamaa walishafunga mafile ya kudili na Hezbollah na kutangaza ushindi.

Hizo silaha wamzipata wapi,juzi kati walirusha rocket za kutosha ...Wamezitoa wapi?
 
Hawezi kuuza, it's just Syria sio wamoja, sio kwamba Nchi nzima wanamsupport yeye, Syria kuna wakristo, Alawite, Druze, Shia etc

Al Qaeda na Isis ni vikundi vya Israel na Marekani kamwe hawawezi Ku align na Muiran, hata ukiangalia Iraq aliewapoteza Isis ni Iran.
 

Wanatengeneza ndani ya Lebanon tangu kitambo kukwepa intel za Israel✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…