Natanguliza shukrani za dhati kwenu, Wakuu ningependa kufahamishwa kati ya hiz comb. HGK, HGL na HKL ipi ni best na yenye maslahi kwa badaye, itakuwa bora zaidi kama mnaweza kunielezea cozi ya kila comb at chuo kikuu na soko la ajira ya kila komb. Aksanteni
Yote hayo utaenda education...........na ajira utapata. Ukisoma Sociologyb, P. Science na ubishoo mwingine utajilipia kila kitu...............wewe ni education tu. Walimu bado hawatoshi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.