Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Huyu Lady Gaga sasa amevuka mipaka.. yeye mpango wake sasa hivi ni kuanzisha kanisa ....ameamua kuanzisha kanisa ili afungishe ndoa za mashoga... let see..na amesema ndoa ya kwanza kufungisa itakuwa na mwalimu wake wa yoga






