Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
yeye ndio atakuwa kiongozi wa hilo kanisa na msukumo wa kuanzisha hilo kanisa ni ili kufungisha ndoa za mashogaye ndo atakuwa askofu wao?
ehh aya bwana...NI LAANA ..MAOMBI JUU YAKE YANAITAJIKA..KM SAULI ALIBADIRIKA BAS ATA GAGA ANAWEZA KUWA MAMA THERESA FLAN IVI..
hiyo mbona ina afadhali@ afrodenz
huyu mwanamke upstairs kutakuwa kuna mushkeli
all the besthahahahah haya bana
ngoja nika pumzike baadaye....
nanate.......
hakuna cha lucifer wala nani.lifestyle yake tu hii..Lucifer in action.
kivipi? i cant buy this...huyu ni demu kajichokea tu huyo Lucifer mwenyewe hamjui wala nini .. hii ni style yake ya kujipatia riziki..kama wasanii wengine.. she is trying to get attention from media and many peoples as possible as she can.Lucifer in action indeed,hiyo ndo kazi yake alopewa hakuna cha life style wala nini,ni mpango maalumu kuwafanya watu wote wawe ma-puppet iwe rahisi kutawaliwa,wake up people,she is a true devil,na mengi mutayaona kutoka kwake,laana ya Allah imshukie.