Hi, am looking for a girlfriend.....and a potential wife in the near future..

Hi, am looking for a girlfriend.....and a potential wife in the near future..

hizi mastaz mnazizalilisha!
Yaani kabineti yako yoote kichwani imekaa na kuweka haya hapa?
 
we umeona cha ajbu nini?:A S angry:
 
Nimependa sana tangazo lako ulivyo liremba.! Nakutakia kila la heri.!!
 
Kuna wadada wengiiiii wanatafuta waume au maboy kama nyie.
Tumia elimu yako kutafuta nyuzi husikaa, sio kila mtu lazima apost uziii.
Mambo ya facebook hayo!!
 
hi,what is uzi? I don understand you!😱hwell:
 
Back
Top Bottom