Hi Chit-Chat

Kwanza kukaguliwa kwa hapa lina maana gani?
 
Bantu karibu....kitu cha arusha.we msela au sister du poriii...au wa masaki,obey
 
basi baridi ya yethuu....mimi tu ndo single humu wengine wote wana watu,karibu sanaa

Asante nimeshakaribia kabisa. Ooh pole utapata tu mtu wako ukitangaza nia warembo kibao humu.
 
Asante nimeshakaribia kabisa. Ooh pole utapata tu mtu wako ukitangaza nia warembo kibao humu.[/QUOTE.dah!!wanasema mchizi natabia mbayaa....navuta sana kayaa,wanajali mavazi si tunatafuta helaa
 
Vitu vingi kimojawapo jinsia yako, then kama wewe ni ke tunatakiwa kujua kama kile kizuizi kimeshatolewa kwenye k

Aah Nitonye si umeona kabisa mimi ni ke. Kuhusu kizuizi sisemi itakuwa kama tangazo vile, halafu mi sitaki.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja sasa nakwita babu ama? Niambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…