Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HabariNaomba kuuliza jamani, najiungaje humu jamii forums?
Yumo ndani mpaka dk hii hahahaHabari
Mpaka sasa umeshajiunga JamiiForums.
Hahaha dah nimecheka sanaLabda uliza unajitoaje
Bado ujajiunga subiri mpaka mwakani kidukulilo boss wetu atakapo kuchukua interviewHi Gentlemen
bado zipo chini, akikomba au akinyanyua bakuli utakuta keshazoea na kuanzisha madaUmekunywa mtori umemaliza hujaona nyama
[emoji23][emoji23][emoji23]!! sio mbaya he made our day.Umekunywa mtori umemaliza hujaona nyama
Ngoja nikutumie namba utume pesa ya kujiungaNaomba kuuliza jamani, najiungaje humu jamii forums?