Mambo vipi guys!!
Nimejua na jamii forum baada ya kuona kuna topics zilizotulia na comment nzuri zenye manufaa kwa jamii.
mwana jamii mwenzenu
Birmingham-UK
Mambo vipi guys!!
Nimejua na jamii forum baada ya kuona kuna topics zilizotulia na comment nzuri zenye manufaa kwa jamii.
mwana jamii mwenzenu
Birmingham-UK
Nami napenda kutoa shukrani zangu hapa janvini kwa kukubaliwa na chief moderator pia naomba mnikubali, hata hivyo ni mara yangu ya kwanza kuonekana hapa janvini. Nawasilisha.