heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Wakuu Ramadhan Makbour
Ni suala lililotokea mwezi wa kumi na moja huyu mdada alipewa kashata anavyodai zilikuwa ni za bhangi mmea,
Alipewa na mtu hajui uyo mtu alikuwa na nia gani nae ila baada ya kula alianza kupagawa na kuwehuka kama alienzwa na kichaa
Sasa anadai hadi leo anahali ya kujihisi kizunguzungu, kichwa kuumwa kisogoni, sometimes anjihis kichwa chepesi
Mwili kukosa balance ivo kwa muda wote hadi leo, sasa je tatizo litakuwa ni alosto imegandia?
Je anapata msaada gani kuondokana na iyo hali amshatumia dawa nyingi tu hali ipo vile vile