Hi hali inaondokaje katumia kashata za Ganja

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
Wakuu Ramadhan Makbour

Ni suala lililotokea mwezi wa kumi na moja huyu mdada alipewa kashata anavyodai zilikuwa ni za bhangi mmea,

Alipewa na mtu hajui uyo mtu alikuwa na nia gani nae ila baada ya kula alianza kupagawa na kuwehuka kama alienzwa na kichaa

Sasa anadai hadi leo anahali ya kujihisi kizunguzungu, kichwa kuumwa kisogoni, sometimes anjihis kichwa chepesi

Mwili kukosa balance ivo kwa muda wote hadi leo, sasa je tatizo litakuwa ni alosto imegandia?

Je anapata msaada gani kuondokana na iyo hali amshatumia dawa nyingi tu hali ipo vile vile
 
Dooh pole yake.. Hizi cookies za bangi I thought effects zake zinawear out kama bangi kawaida. Kama alitumia mara moja kwa nini effects zinaendelea. Au anaendelea kuzila mkuu.. Au maybe ana allergy na content/contents za mmea
 
Dooh pole yake.. Hizi cookies za bangi I thought effects zake zinawear out kama bangi kawaida. Kama alitumia mara moja kwa nini effects zinaendelea. Au anaendelea kuzila mkuu.. Au maybe ana allergy na content/contents za mmea
AlikulA mara moja tu akawa kma mwehu adi wakamshika sasa sijui imenasia
 
Niunganishie nimpe dawa pafu 2 tuu anapona
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ edibles ni story ingine.. i remember first time nazikula, sio poa.
Anyway, apewe water therapy like a month plus deep meditation. Bongo kungekua na psylocibbin mushrooms i would advice a trip to clear the mind
 
Sasa umestabilize ukizikula?? [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ