Hi hali inaondokaje katumia kashata za Ganja

Senkyuu saaa..... Nimejifunza kitu
 
Hivi hizi kashata bongo zipo?? Najua zaidi Zzinapatikana Nairobi
Kuna mzungu mmoja na mkewe pale Moshi walikuaga wana-supply hio mambo wakaja wakadakwa,Ila Nikiwa Zanzibar ndio hio mambo hua naipata ikiwa org.
 

Hamna anatakiwa akawaone madr wa ubongo
Wanaptikan hospital gani hasa hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…