Hi kwa wana JF wote

Hi kwa wana JF wote

JuniorK

Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
15
Reaction score
0
Mimi ni mwanachama mpya kwenye uwanja wetu huu wa mawazo ya kulijenga taifa letu tunaloliita changa, japokuwa sina uhakika kama bado ni changa, ila ninaamini kuwa hapa tutalikomaza kama litakuwa bado halijakomaa...Keep up good work ya kupamabana na ufisadi kwa uwazi na ukweli mpaka tushinde....JuniorK
 
Siyo changa bali limebemendwa na mafisadi!! Karibu jamvini!
 
karibu sana jamvini pitia pitia kanuni na sheria za JF.
 
Back
Top Bottom