Mgeni kutoka Mwanza
Ngosha loes ndio nini?
Mie tayari nakijua, wewe nenda kajifunze.Twende Mwanza tukajifunze kisukuma...
Hatimaye tumepata mgeni mpya..akaribie ila aishie sebuleni
ππππChumbani ni kituo cha kazi cha wawili tu...
Mie tayari nakijua, wewe nenda kajifunze.
Una shilingi ngapi mkwe?Nifundishe na mimi basi, nataka kuanza biashara ya Sato
Una shilingi ngapi mkwe?
Mbona mkeo ni mtaalamu pia?
Mkwe we nipe hela tu, tukisubiri mtambo[emoji1787][emoji1787]Mkwe aliyekuonesha pesa alikosea sana kutokukupatia na mtambo wa kuzifyatua [emoji16][emoji16]