Hi, mimi ni mgeni ninaomba ninaomba mnipokee humu

Hi, mimi ni mgeni ninaomba ninaomba mnipokee humu

Kigufa48

New Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
2
Reaction score
4
IMG-20220420-WA0033.jpg

Ninaitwa George Kigufa ni mgeni humu. Ninaomba mnipokee
 
George kigufa,bado uko dar au ulishaama??
 
karibu bhana george

ila jamiiForum sio ya mchezo mchezo inatakiwa ukaze buti

jamiiForum sio kama fb na insta , huku majukwaani vimejaa vichwa tupu!
 
karibu bwana George... msalimie mjomba bashite hapo koromije
 
Karibu sana, pita huku nyoosha mpaka pale kisha kata kulia mbele kidogo ,kata kushoto mwisho wa korido ingia upande wa kulia utawakuta wana JF wamejaa humo, ila matusi hayaruhusiwi.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kigufa hili ni jina la kigoma au ukanda ule,
ulakomeye?
Tulashashe chane.
 
Another one, I am sure you won't take a round! You'll run your ID mkuu, Liverpool VPN mpe usia mwanetu huyu.
 
Karibu Sana mkuu.
Pia umefanya Jambo Jema Sana kuweka picha yako halisi.

Ni fursa pia kwa wale wadada wanaotafuta wachumba.


--Jifunze kusoma upepo kabla hujacomment chochote..

--Humu kila member ni tajiri.
--Humu kila member mjuwaji..
--Kila member ni msomi wa chuo.
--Humu kila member ana maisha mazuri.
-- kila member ana gari na nyumba nzr ya kuishi.

Usijisikie unyonge mkuu.
 
Karibu Sana mkuu.

--Humu kila member ni tajiri.
--Humu kila member mjuwaji..
--Kila member ni msomi wa chuo.
--Humu kila member ana maisha mazuri.
-- kila member ana gari na nyumba nzr ya kuishi.

Usijisikie unyonge mkuu.

Huwezi amini! Wana JF wamefanya nimenunua gari la kifahari! Nimejenga nyumba Masaki! Kila siku nachakata mbususu za kikolea! [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom