Habari wana JF leo nimeona tujadiliane hili liliotea wiki iliopita baada ya baadhi ya wachezaji wa team ya ARGENTINA kuimba kua 👉(kuna wachezaji wanacheza ufaransa ila wazazi wao na asipi yao ni cameroon, kuna wengine wanacheza ufaransa ila asili yao ni ANGOLA...) 👈 ni baadhi ya maneno yalio sikika kutoka kwa baadhi ya wachezaji wa Argentina
Hicho kitendo kilichukuliwa kama ubaguzi wa rangi ila mm naona kile walichokifanya wachezaji wa ARGENTINA ni kweli kabisa na mm nawasapot kabisa lau awa wachezaji wangekubali kucheza AFRICA uenda AFRICA ingekua na uwezo wa kufika final na kuchukua kombe la dunia au walau kufika final
Tazama morroco iliweza kufika nusu fainal ya kombe la dunia lau ingeongezeka.nguv kidog kutoka kwa wachezaji wao walio amua kucheza nje ya AFRICA basi morroco ingefika final
Africa tuna wachezaji wengi sana wa zuri wanaocheza nje na ukiwaaangalia wengine ni weusi kabisa ata mtoto mdogo akiulizwa atajib uyu ni mwafrica
Ety wana JF kati ya hakimi na saka nani mwafrica ???
Karibuni kwa hoja juu ya mada kadhaa niliozungumza hapo juu
Mali
Ngolo Kante
Osmane dembele
Tanzania
Yusuph
Nigeria
Saka
Congo
Lukaku
Kolo Muani
Kuna wachezaji walistahili kuchukua ballon d or kama vile etoo na drogba lkn walinyimwa kutokana na kua wa AFRICA
Mbappe na vini jr watanyimwa tuzo ya ballon d or kwakua ni asili ya africa oya wana jf ni mengi ya kuongea ila tupunguze maelezo tujadiliane hapa kwanza