Karibu dada,i am a new member and i would like to chart.
Karibu dada,
Tafadhali katika kumbukumbu zako usinisahau kwa kuwa nimekuwa wa kwanza kukukaribisha. Ukisikia maumivu ya mgongo usisahau kuchart na mimi nikugaie vidonge ladhaa vya kutuliza maumivu.
Karibu tena!!
is this an International post au pen dada anaishi mwezini