dinongo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 814
- 1,054
Mod, msichanganye aka kauzi,
Hivi serikali inafurahia wananchi wake wateseke kwanini? Nimemsikia mmiliki mmoja wa mabasi akisema kuwa kuna watu wakubwa wana logde zao wanazimiliki karibu na stendi kuu ya mabasi.kwahiyo kitendo Cha wao kuwapeleka abiria maeneo karibu na makwao inafanya wasipate wateja kwenye gesti zao.
Kwahiyo ndiomaana hawataki wamiliki wa mabasi wawasaidie abiria watokao mikoani kuwasogeza jirani na makwao, hususani kwa wale abiria wanaoishi maeneo ya mbali na mji.
Tazama hii clip wananchi wanavyolalamika.