hi vipi wadau mimi mpa katika jf nipeni michogo

kanyinvestment

New Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1
Reaction score
0
ha bari mimi ni mtanzania wa kawaida napeda kujumuika na wana jamii ili niweze kupata habari pamoja na mambo mbalimbali yanayolihusu taifa na biashara za kimataifa. karibuni wote ambao muna weza kuni saidaia katika hili swala na tanguliza nshukurani
 
Hapa JF kuna kila kitu...nyanja zote zipo...
Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…