Hi Wana jf

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,217
Reaction score
426
Wakuu, nimekuwa nikifurahia michango yenu ya mawazo hapa jf. Michango mingi imekuwa ya kujenga. Nimefurahia topiki mbalimbali kwa kupitia humu jf Na sasa nimeamua kujiunga ili nami nipate chance ya kuchangia.
Pamoja tutajenga zaidi!
 
Ya, Asante sana. Si unajua hiyo disc siyo rahisi kuchakachuliwa!
 
Hilo jina lako tulipata kuwa nalo miaka kadha nyuma, sijui kama ndiwe yule!...km jibu ni affirm, basi mijadala ya Metaphysics itaanza soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…