hi

hi

Weka picha yako haraka sana kabla uzi wako hujafutwa
 
Stop! Let's go

Hi! Hi!

Baby say Hi, nakupa tabasam pale unaponipa Hi,

Hata kama upo hovyo punguza nishai,

Masela na madem ndani ya nyumba say Hi, yoo

Verse 1

me, you xxx y, xyk es, Dully sykes, maliza na misifa kwenye raga mi natisha,

Ilala kariakoo kote mi nawakilisha,

Hi hi mi napewa hi, tena bila shy now wananipa Hi,

Ninaposema Hi namaanisha Hi,

Masela ndani ya nyumba mi nataka mfurahi,

wengine wanadai, eti mimi sifai,

Eti wanasema dully mimi najidai,

Ama kweli ng'ombe wa maskini hazai,

Hata hivyo mimi bado ninawapa hi,

Linapopigwa handsome club mimi sikai,

Nakwenda kulicheza wala mi sioni shy,

Candy, Keli, Skola, Nora, Zai, Mademu wa kibongo wote wananipa Hi, yoo

Rudia kiitikio....
 
Umeflow vizuri kijana, ila hapo verse ya kwanza inapoanza anaimba D.U.L.L.Y S.Y.K.E.S na sio hizo xxx ulizoweka hapo
 
Back
Top Bottom