Hi

Utawapata uzeeni...
Kwasasa songa na yeyote utafika...
 
Karibu sana Jf.

Hivi unataka rafiki wa aina gani vile? wa kike tu, wa kiume tu, watoto tu, wazee tu, mchanganyiko, askari, walimu, mawakili wasomi, wafanyabiashara, wakulima, madaktari, nk.

Be specific please, because JF is like an Ocean.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…