twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Ndugu wana jf napenda kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa umoja wenu kwa ukombozi mkubwa wa kifikra mlionipatia.Hakika nimejifunza mengi sana kwa takribani kipindi cha miaka 4 nilichokuwa naperuzi mtandao huu as a guest.Naomba mzidi kuelimisha jamii ktk kuleta tija kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.Mungu awabariki mno..!