Karibu! Karibu sana makanyaga19 ila tu caution ni kwamba nakuomba tuendelee ku-maintain standard kwa sababu mmoja wetu akiharibu watu wanaweza wasijue ni yupi hasa kaharibu na sana sana vidole vinaweza vikaelekezwa kwangu kwa vile tu mimi mtu mzima zaidi (assuming this is your only ID in the forum) kwenye forum hii kuliko wewe. Maana humu kuna watu kama akina Kiranga ukikosea halafu akaamua kukutumia kombora la salamu, huwezi kubaki salama. Karibu sana mkuu