hi

hi

Sasa weye ndo unatuwelkamu ama sie ndo tunakuwelukamu?
Saidia kidhungu hapa watu8
 
Last edited by a moderator:
Sasa weye ndo unatuwelkamu ama sie ndo tunakuwelukamu?
Saidia kidhungu hapa watu8

Hahaha...ukiona hivyo ujue kashafika na kukaa kwa kochi kabisa. Ndio maana kaamua kutuwelukamu sisi sote...
 
Last edited by a moderator:
Kuna mitaa mingi sana kwenye jamii hii usikose kutembelea Mtaa wa Wajasiriamali, Karibu mgeni wetu, mgeni njoo wenyeji tupate mambo mapya !!
 
Back
Top Bottom