HI

HI

kutiti

Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
61
Reaction score
5
NI MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA JF NAOMBA WADAU MNIPOKEE😛ray:
 
NI MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA JF NAOMBA WADAU MNIPOKEE😛ray:
Mbona umevamia jukwaa la siasa !!!!
Karibu sana, tunahitaji watu wenye michango mizuri kwa maendeleo ya taifa letu zi vinginevyo...
 
mbona umevamia jukwaa la siasa !!!!
Karibu sana, tunahitaji watu wenye michango mizuri kwa maendeleo ya taifa letu zi vinginevyo...
nimevamia siasa coz ina changamoto nyingi sna so inaitaji wadau wengi
 
U are welcome!! Michango yenye kuleta mabadiliko chanya katika taifa letu inahitajika.
 
Karibu sana Kutiti, JF ni ya wote!! Welevu na wapumbavu. Itakuwa vyema ukipita kwenye sheria za JF uzisome na kuzielewa kabla ya kuendelea!!
 
ukimwita jk fastjet utapigwa ban ya wiki nzima,beware,ukitaka kumuita hivyo andika hivi,fa*tje*
 
NI MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA JF NAOMBA WADAU MNIPOKEE😛ray:

Karibu sana, zingatia alichokisema mkuu mathcom tunahitaji watu wenye michango mizuri kwa taifa letu
 
Back
Top Bottom