Mbona umevamia jukwaa la siasa !!!!NI MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA JF NAOMBA WADAU MNIPOKEEπray:
nimevamia siasa coz ina changamoto nyingi sna so inaitaji wadau wengimbona umevamia jukwaa la siasa !!!!
Karibu sana, tunahitaji watu wenye michango mizuri kwa maendeleo ya taifa letu zi vinginevyo...
sawa mkuu nimekuelewakaribu sana kutiti, jf ni ya wote!! Welevu na wapumbavu. Itakuwa vyema ukipita kwenye sheria za jf uzisome na kuzielewa kabla ya kuendelea!!
u are welcome!! Michango yenye kuleta mabadiliko chanya katika taifa letu inahitajika.
NI MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA JF NAOMBA WADAU MNIPOKEEπray:
ha ha haaa he is my predaukimwita jk fastjet utapigwa ban ya wiki nzima,beware,ukitaka kumuita hivyo andika hivi,fa*tje*
ukimwita jk fastjet utapigwa ban ya wiki nzima,beware,ukitaka kumuita hivyo andika hivi,fa*tje*