Hi

Hi

Mbwaharuki

Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
7
Reaction score
2
Wakuu naombeni muingozo!ni jinsi gana naweza kudownload video niliyoipenda katika utube!?
 
ungeomba ubadilshiwe title maana mtu aliona
Hi anaweza kujua ni utambulisho wa member mpya
 
Ungeanza kuomba kufundishwa kuandika.
 
Ok ngoja niombe mtu anifundishe kuandika thankx kwa ushauri mzuri.
 
download application ya tubemate nafikir itakusaidia
 
Kama unatumia PC download web browser ya Firefox halafu install hii plugin.

DownloadHelper - Media download Firefox extension

Kama unatumia android phone tumia hii kitu

Media Trap app, Tubemate na nyingine zenye rating kubwa kwenye playstore kwa kupakua videos zote yani Youtube, Insta, FB, Web browser nk. Mara nyingi hizi apps huwa hazikai sana kwenye market sababu Youtube ambayo ipo chini ya google wanai ban kwenye playstore sababu ya kudownload youtube videos. So ukiikosa wewe search hiyo application kwa google.

Ukitaka kudownload Youtube video unaenda share halafu una select app moja wapo kati hizo ambazo utakua umedownload halafu ina process hiyo download link na kukuuliza quality video unayotaka.
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom