Media Trap app, Tubemate na nyingine zenye rating kubwa kwenye playstore kwa kupakua videos zote yani Youtube, Insta, FB, Web browser nk. Mara nyingi hizi apps huwa hazikai sana kwenye market sababu Youtube ambayo ipo chini ya google wanai ban kwenye playstore sababu ya kudownload youtube videos. So ukiikosa wewe search hiyo application kwa google.
Ukitaka kudownload Youtube video unaenda share halafu una select app moja wapo kati hizo ambazo utakua umedownload halafu ina process hiyo download link na kukuuliza quality video unayotaka.
Nawasilisha