Hiace Dungu Kulipa kwa awamu Inatakiwa

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,049
Reaction score
10,502
Haya wakuu,
Kuna tenda naitarajia kuipata ya miaka mitatu kwenye Inte School moja hapo Dar ya kutoa sehem kuja route ya Tabata.
Ila inaweza ku mature mwezi wa kumi na kuanza January.
Nikiangalia hesabu zangu hazijakaa sawa.Na sipendelei kuuza kitu kwa kufanya kitu,maana maana hata nitachokiuza bado kipo kina run vizuri.Naziunga unga pesa ila nitakuwa sijafikia hesabu yake kabisaa,
Sasa Hembu niambieni wapi naweza ku sign nao nilipe kiasi fulani then niwalipe kwa kila mwezi.Wao wabaki na Card wanipe nianze kazi muda ukifika.

Hapa naongelea used Hiace Dungu
 
hiyo inawezekana chief....si mnandikishiana mkataba tu kisheria....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…