Hichi kinachonisumbua ni nyongo kweli?

Nina mashaka kama wewe hata umewai kuonja medical school na hivo Wewe hauwezi kunifundisha medicine, nimesoma medicine na nime train madaktari pia.

Kuambiwa una shida fulani hakuondoi kuwa na shida nyigine?
Yaani kuna na shida kwenye Gallblader hakuondoi kuwa na Pancreatitis.

Kwa taarifa yako tu....Kwa Tanzania Pancreatitis ina Cause mbili zinazoongoza.
1. Alcohol
2. Gall bladder stones.

Kwanza unajua Uwezo wa Sonography katika ku diagnose hayo magonjwa ya gallblader?
 
Hata ungekuwa na PhD, haimaanishi kuwa ww ndiyo ujuaye kila kitu

Na kuwaona wenzio hawajui chochote

Endelea na utrainin wako.

Mgonjwa kaomba ni juu yake kufuata au kiutofuata

Hongera trainer
 
Hata ungekuwa na PhD, haimaanishi kuwa ww ndiyo ujuaye kila kitu

Na kuwaona wenzio hawajui chochote

Endelea na utrainin wako.

Mgonjwa kaomba ni juu yake kufuata au kiutofuata

Hongera trainer
Nani kakwambia haujui chochote?
Na nani kasema mimi najua kila kitu?
Wapi nimeandika najua kila kitu?
Mgonjwa kaomba ushauri ila akipotoshwa tunamsaidia muache kumpotosha
 
Nani kakwambia haujui chochote?
Na nani kasema mimi najua kila kitu?
Wapi nimeandika najua kila kitu?
Mgonjwa kaomba ushauri ila akipotoshwa tunamsaidia muache kumpotosha
Kiongozi hapo juu niliku-tag ili utie neno kidogo kwenye Kifuko cha Nyongo manake kuna ndugu yangu kinamtesa sana! Kwa kifupi, kuna hospitali unayoweza ku-recommend?

In short yeye huwa anatibiwa Regency! Baada ya kuona haelewi elewi, akataka kwenda Muhimbili lakini akaambiwa pale Muhimbili hawana utalaamu na huo ugonjwa!!!

Tukabaki kushangaa!!!

Mbaya zaidi, baada ya kufanya research binafsi nikagundua tiba ya kudumu kwa huu ugonjwa ni kuondoa hicho kifuko through surgery, na mgonjwa wangu ana kisukari na kwahiyo ni ngumu kidogo kufanya op!

So, kuna next best option to surgery?
 
Asee hilo tatizo linanisumbua sana,ni sasahivi tu nimetoka kutapika kwa kujitapisha nime mwaga nyongo nyingi sana,ndio kujisikia ahuweni sasa.mleta mada nakuja inbkx unisaidie ndugu
 
Huu ugonjwa unaitwa
Acid reflux , tumia mucogel na Omeprazole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…