Hidaya akata mawasiliano, daraja lasombwa Somanga

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mawasiliano kati ya Dar na kusini mwa nchi yamekatika baada ya daraja lililopo Somanga kusombwa na maji.

Ukiachana na daraja hilo, zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, kati ya Lindi na Dar es Salaam yamekatika.

Hali hiyo imetokana na madhara ya kimbunga Hidaya kilichosababisha mvua kubwa katika mikoa ya Lindi na Mtwara na Kisiwa cha Mafia mkoani Pwani.

Pia, soma=β–· Daraja la Somanga limekatika
 
Mola uturehemu.....
 

Attachments

  • VID-20240505-WA0015.mp4
    6.9 MB
  • VID-20240505-WA0014.mp4
    12.9 MB
  • VID-20240505-WA0024.mp4
    10.2 MB
Safi sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndo unasema kuwa anapelekaga mbwa wake kufanya mazoezi au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila weee mkuu hovyo sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaaha si unajua Wazungu hua wana jogging na dogii πŸ• evening sasa braza yangu Maghayo ndio mchongo mojawapo huko Uswidi anapiga ukiacha ya kubeba box na malipo ndio hayo kukaa kwa kibibi cha kiswidi na kukilea huko akifaidi vya ndani,
Watu wanafaidi sana mkuu hapa bongo tunapauka tu soon na mimi nitadondoka huko kwa kitonga zaidi!
😁😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wee una utani wa ngumi...

Sasa fanya siku uniletee video ya Maghayo akiwa na hako kabibi kake wakiwa wapo wanatembea mana kuna mmoja aliwahi kuleta hyo video hapa kwa alinotice kuwa aliopo kwenye ile video ni mwamba wako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
CCM iache ubabaishaji kwenye ujenzi wa barabara na madaraja, pesa zinapigwa Wakandarasi wanaishia kufanya UJENZI DUNI
 
Lindi ndo home
 
Nimemkumbuka babe wangu Hidaya. πŸ˜‚πŸ˜‚ nae alikata mawasiliano.πŸ₯²πŸ₯²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…