HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA

HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA

Sikalengo

Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
38
Reaction score
18
HIFADHI MAZAO BILA KUT
41b288fa4a6170dbc422e4eeea0de9fe.jpg
IA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.

Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000

Tutakutumia ulipo.

FARMRICH Agro-Enterprises Ltd
Email: farmrichagro@gmail.com
Call: 0755325442

JINSI INAVYOFANYA KAZI
Mifuko hii hairuhusu hewa kuingia Wala kutoka. Ukifungia mazao katika mifuko hii, mazao hutumia hewa yote ya oxygen iliyopo mifukoni na kubakisha Carbondioxide.
Wadudu wanahitaji Oxygen ili waishi. Wakikosa Oxygen hufa ndani ya siku Saba.
ONYO: Usihifadhi mbegu humu, inaweza kufa.

JINSI YA KUTUMIA
Hakikisha mazao yamekauka vema. Safisha mazao yako kwa kuhakikisha Vumbi Na uchafu mwingine vimetolewa.

Weka mazao katika mfuko. Funga mfuko wa kwanza kwa kamba, funga wa pili, funga wa tatu.

Weka mifuko sehemu salama ili isitobolewe Na misumari ama vijiti. Tumia njia zingine kudhibiti wadudu kama panya nje ya mfuko.
ONYO: Usishone mfuko

MUDA WA MATUMIZI
Mfuko huu Bado uko salama mpaka tu pale utakapokua umetoboka.
Waweza kutumia zaidi ya misimu mitatu.

MAELEZO ZAIDI
FARMRICH Agro-Enterprises Limited
farmrichagro@gmail.com
www.farmrich.wordpress.com
0755325442

Sent from my Fero A4502 using JamiiForums mobile app
 
Kama mbegu yaweza kufa vipi kuhusu vilutubisho vya lishe vipatikanavyo kwenye mazao hayo haviathiliwi na hiyo hali
Maana waweza kwepa wadudu lakini siku unataka kutumia hizo nafaka zikawa pia ni makapi ??

Ufafanuzi mkuu unahitajika kwa swali hili





Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Safi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ipo poa sana hii kitu

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom